John 8:5-7

5 aKatika sheria, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake wa namna hii, mpaka wafe. Sasa wewe wasemaje?” 6 bWalimuuliza swali hili kama mtego ili wapate sababu ya kumshtaki.

Lakini Isa akainama akaanza kuandika ardhini kwa kidole chake.
7 cWalipoendelea kumuulizauliza akainuka, akawaambia, “Kama kuna mtu yeyote miongoni mwenu ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe.”
Copyright information for SwhKC